Samatta azawadiwa kiwanja na Serikali kwa kutwaa tuzo …

 Usiku wa January 12 Mbwana Samatta alifanyiwa party iliyopewa jina la Samatta Party. Party ilifanyika na serikali kutangaza kumpatia zawadi ya kiwanja Kigamboni na siku kadhaa mbele atakabidhiwa hati.

IMG_20160112_232125
Zawadi ya Samatta kwa Waziri mkuu ikipokelewa na waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
IMG_20160112_232228

Mkuu wa idara ya Vodacom kanda ya Pwani Harrieth Koka akiwa katika picha ya pamoja na Samatta
IMG_20160112_232252
Mshindi wa Big Brother Afrika Idris Sultan akiwa na Samatta
IMG_20160112_231625
IMG_20160112_231648
Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Popekushoto na mwandishi wa habari za michezo Saleh Ally
IMG_20160112_231728
IMG_20160112_231754
Samatta katikati, kushoto waziri wa michezo Nape Nnauye na waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
IMG_20160112_231815
IMG_20160112_232012
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuviakithibitisha serikali kumzawadia fedha na kiwanja maeneo ya Kigamboni.
IMG_20160112_231838
IMG_20160112_231857
Samatta akiwa na waziri Nape na Lukuvi pamoja na mama na baba yake.
IMG_20160112_231916
IMG_20160112_231936
Thomas Ulimwengu alikuwepo pia kumsapoti Samatta

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment