TAARIFA: MAZISHI YA MAREHEMU ABEID SAID MPATE

As - Salaam - Aleykum. Tunapenda kuwajulisha kuwa tumefanikiwa kuipata maiti ya mwenzetu Abeid Mpate. Pichani hapo juu  mazishi yatakuwa kesho Jumamosi tarehe 9/1/16.
Kukutana itakuwa msikiti wa Shah Jalal, 75 Smith Street, Coventry, CV6 5DX.  kuanzia saa 4.30 asubuhi mpaka  saa 7.15 mchana na tutasali Adhuhuri na baadae kumsalia maiti. Tunaelekea makaburini saa 8.00 na tutazika saa 8.20 InshaAllah. Ni muhimu kuzingatia Wakati. Anwani yda makaburini ni Lenton Lane, Coventry, CV2 1AA. Kina mama watakuwepo Shah Jalal holi la chini na wanaume watakuwepo juu msikitini. 
Time zote zisomeke kwa kiswahili.
kwa maelezo unaweza kupiga simu number hizo hapo chini
07939294471 (wanawake)
:07801750508 (wanaume )

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment