TANGAZO LA MSIBA LONDON NA ZANZIBAR

 إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
A/Aleikum tunasikitika kutangaza kifo  cha ndugu yetu anejulikana kwa jina la umaarufu MPATE kilichotokea jana kwenye mji wa Coventry uingereza, marehemu ni mwenyeji wa Zanzibar alikuwa mkaazi wa Mjini Unguja GONGONI karibu na Uwanja Wa Mao Tsetung.
Miapango ya mazishi inafanywa 
Endelea kufuatilia blog hii kwa habari zaidi za mazishi ya Ndugu yetu.
Yeye Mbele sie nyuma yake mwenyezi Mungu amuweke mahali pema pepino na amsamehe makosa yake
Ameen
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment