Uwekaji wa Jiwe la Msingi Wodi ya Watoto na Upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja (ORIO) Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Ushauri kwa Uongozi wa Hospitali wa  Wizara ya Afya wakati alipokuwa akitembelea hatua ya ujenziWodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kuweka jiwe la msingi  miradi hiyo miwili leo ikiwa ni  katika  shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) ni Mkandarasi wa ujenzi kampuni ya Rans Ali Nassor Salim,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa Wizara ya Afya Mathna Kassim Marine (kushoto) baada ya kuweka jiwe la msingi  Upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja (ORIO) leo ikiwa ni  katika  shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Mkandarasi wa ujenzi kampuni ya Rans Ali Nassor Salim,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akifungua pazoakama ishara ya   uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto katika  Hospitali ya Mnazi Mmojaleo ikiwa ni  katika  shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya wanafunzi wa Vyuo mbali mbali vya Afya wakiwa katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni  katika  shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akitoa nasaha zake kwa wananchi pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya mnazi mmoja katika sherehe zauwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni  katika  shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks,
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  kutoa nasaha zake kwa wananchi pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya mnazi mmoja katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni  katika  shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipokuwa akitoa salamu zake mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika   sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni  katika  shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Viongozi na wageni mbali mbali walioalikwa katika   sherehe za uwekaji wa jiwe la msingiWodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni  katika  shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoahutuba yake ya uwekaji wa jiwela msingi mradi huo
Baadhi ya madaktari na Maafisa wa Hospitaliya mnazi mmoja wakiwa katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni  katika  shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Picha na Ikulu. 
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.