Washindi wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba wakabidhiwa zawadi

HAPPYNESS HAULE (2)Mwakilishi kutoka Kampuni inayosambaza ving’amuzi vya TING, Anitha Chawe (kushoto), akimkabidhi zawadi mshindi wa kig'amuzi, Happyness Haule (katikati) na Ofisa Usambazaji wa Global Publishers, Yohana Mkanda (kulia) akimkabidhi TV leo katika ofisi za Global Publishers, Bamaga Mwenge jijini Dar.

DONASIAN MSAKI AKIONESHA BEDSHEET ALIYOSHINDA (3)
Donasian Msaki akiwa na bedsheet aliyoshinda
DOREEN SAMUEL AKIONESHA ZAWADI YAKE (4)
Doreen Samuel akionesha zawadi aliyoshinda. EMMANUEL KARINGA NA ZAWADI ZAKE (2)
Emmanuel Karinga na zawadi zake HAPPYNESS HAULE KATIKA POZI NA ZAWADI ZAKE (7)
Happyness Haule akiwa na zawadi zake.
JAMILA SHABANI AKIPOKEA DINNER SET (7)
Jamila Shabani akipokea dinner set
JUMA MATUMLA AKIONESHA ZAWAD YAKE (2)Juma Matumla akionesha zawadi yake.
MOHAMMED ALLY AKIONESHA ZAWADI (2)
Mohammed Ally akionesha zawadi yake.
MWANTANGA ALLY (3)
Mwantanga Ally akionyesha simu yake.
VERONICA JUSTINE AKIWA NA FURAHA NA ZAWADI ZAKE (1)
Veronica Justine akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa zawadi.
MWANTANGA ALLY (10)
Mwantanga Ally akihojiwa na wanahabari. WASHINDI (3)Washindi wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba wakiwa katika picha ya pamoja.
BAADA ya wasomaji kadhaa nchini kujinyakulia zawadi kwenye droo ya kwanza ya Shindano la Shinda Nyumba linaloendeshwa na Kampuni ya Global Publishers iliyofanyika Januari 7, mwaka huu katika Viwanja vya Mbagala Zakhem leo wamekabidhiwa zawadi zao katika Ofisi za Global Publishers, Bamaga Mwenge jijini Dar.
(PICHA: RICHARD BUKOS/GPL)
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment