AUDIO: WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU AWASIMAMISHA KAZI HAWA WATU WANNE KWA UPOTEVU WA Bil 1.5

Leo Feb 15 2016 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alifika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar, Lengo likiwa ni kupokea vitanda na magodoro kutoka katika Bohari kuu ya dawa (MSD) kufuatia agizo la Rais Magufuli kutaka Hospitali hiyo kuongezewa vitanda, Lakini shughuli haikuishia hapo tu, akaligusia suala la upotevu wa fedha karibia Bil 1.5 na baada ya hapo akaamua kufanya maamuzi.

Msikilize haha chini 
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.