Kim Kardashian amuweka hadharani Saint West

Kim Kardashian ametuonesha picha ya kwanza ya mtoto wao wa kiume  "Saint West", ni mtoto wake wa pili na Kanye West ambaye alizaliwa mwishoni mwa mwaka jana. 
Kim aliweka picha hiyo kwenye website yake ikiwa ni ishara ya kusheherekea siku ya kuzaliwa marehemu baba yake . Robert Kardashian, aliyefariki na ugonjwa wa saratani mwaka  2003, ambae angelikuwa na miaka 72 wiki hii
Aliandika pembeni ya picha: "leo ni siku ya kuzaliwa baba yangu. najuwa hakuna chengine chochote angelitaka zaidi ya kukutana na wajukuu zake. 
Wewe unafikiri Saint West kafanana na Nani....... Kim or Kanye?
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment