LADY IN RED 2016 AFTER PARTY KUFANYKA KESHO JUMAMOSI

Baada ya mama wa mitindo Maarufu kama Asya Idarous kwenda kuiwakilisha Tanzania kupitia Tasnia hiyo nchini London kwa kufnya Onesho la Lady In Red 2016 siku ya Tarehe 13/2/2016, iliyo pambwa kimuziki  na Nyota wa Bongo Fleva Rich Mavoko kwa udhamini wa ClubMalibu London,  Kesho Jumamosi Tarehe 20/2/2016 After Party ya Lady In Red 2016 itafanyika Regecy Park Hotel mikocheni Jijini Dar.
Katika Party hiyo kutakuwa na designers pamoja na  wadau wengine wa mitindo, Designers wote walio shiriki Lady In Red 2016 iliyofanyika tarehe 31/1/2016 Tanzania watapewa Certificate za Shukrani.  Party hiyo itaanza ku- shine kuanzia saa mbili kamili usiku hadi saa sita usiku, kumbuka haina kiingilio wapenzi wa mitindo wote wanakaribishwa unakosaje mtaarifu na mwenzio.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.