Hafla ya Kuapishwa kwa Wajumbe wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar.

Spika wa Baraza loa Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid akitowa maelezo kwa Wajumbe Wateuli kwa ajili ya kuanza kula Kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi baada ya kuanza kwa Baraza hilo.
Waheshimiwa wakimsikiliza Spika wa Baraza la Wawakilishi kabla ya kuaza zoezi la kuapishwa Wajumbe wa Baraza kwa ajili ya kuaza kazi yao waliotumwa na Wananchi kuwawakilisha. wakwanza Mhe Rashid Ali Abdalla Jimbo la Amani na Mhe Mihayo Juma N'hunga. Jimbo la Dole.
Wajumbe wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza wakifuatilia utaratibu wa kuaza zoezi la
kuapishwa.wakwanza Mhe Amina Iddi Mabrouk (Viti vya Wanawake) Mhe NadirAbdul-latif Yussuf (Jussab) Mwakilishi wa Chaani na Mhe Abdalla Maulid Diwani wa Jimbo la Jangombe.
Waheshimiwa Viti vya Wanawake wakifuatilia zoezi hilo wakati wakimsikiliza Spika akitowa maelezo ya utaratibu wa kuapishwa.. 
Waheshimiwa wakiwa Ukumbi wa Mkutano wa Baraza wakimsikiliza Spika Mhe Zuberi Ali Maulid.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar akimuapisha Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Mhe Balozi Seif Ali Iddi, akishuhudia Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Dk Yahya Khamis Hamad.  
Spika Mhe Zuberi Ali Maulid akimkabidhi nyezo za kufanyika kazi Katiba ya Zanzibar, Katiba ya Tanzania na Kanuni ya Baraza la Wawakilishi Mhe Balozi Seif Ali Iddi baada ya kula kiapo ya Utii cha Baraza la Wawakilishi.
Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar Mhe Abdalla Ali Kombo akiapa mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid. 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Zanzibar Mhe Said Hassan Said akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishin Zanzibar. 
Mwakilishi wa Jimbo la Jangombe Zanzibar Mhe Abdalla Maulid Diwani akiapa mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zuberi Ali Maulid.
Mhe Ali Khamis Bakar akiapa mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zuberi Ali Maulid.  
Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Zanzibar Mhe Ali Salum Haji akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubri Ali Maulid na Katibu wa Baraza Dk Yahya Khamis Hamad.
Mwakilishi wa Jimbo la Kijitoupele Zanzibar Mhe Ali Suleiman Ali (Shihata) akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mwakilishi wa Nungwi Zanzibar Mhe Ame Haji Ali, akila kiapo mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid.  
Mwakilishi wa Viti vya Wanawake Mhe Amani Iddi Mbarouk akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati wa zoezi hilo la kuapishwa Wajumbe wa Baraza kwa ajili ya kuaza kazi rasmin.
Mwakilishi wa Viti vya Wanawake Mhe Asha Abdalla Mussa akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zuberi Ali Maulid na Katibu wa Baraza Dk Yahya Khamis Hamad. 
Mwakilishi wa Viti vya Wanawakake Mhe Bahati Khamis Kombo akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mwakilishi wa Nafasi za Wanawake Mhe Bihindi Hamad Khamis akiapa mbele ya Spika wa Baraza la Wawakiolishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid.
Mhe Chum Kombo Khamis Mwakilishi kupitia Viti vya Wanawake akitia saini hati yake ya kiapo baada ya kuapa mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zuberi Ali Maulid.
Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Zanzibar Mhe Haji Omar Kheri akila kiapo mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid. 
Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Mhe Hamad Abdalla Rashid akila kiapo mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid.
Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia Nafasi za Wanawake Mhe Hamida Abdalla Issa akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Zanzibar Mhe Hamza Hassan Juma akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mhe Haroun Ali Suleiman wa Jimbo la Makunduchi Zanzibar akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
 Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Mhe Harusi Said Suleiman akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
 Mwakilishi wa Jimbo la Welezo Zanzibar Mhe Hassan Khamis Hafidh akila kiapo cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar mbele ya Mhe Sipa wa Baraza la Wawakilishi Zuberi Ali Maulid na Katibu wa Baraza Dk Yahya Khamis Hamad.
 Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi kupita Nafasi za Wanawake Hidaya Ali Makame akila kiapo chake mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zuberi Ali Maulid.
 Mwakilishi wa Jimbo la Mtoni Zanzibar Mhe Hussein Ibrahim Makungu, akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar mbele ya Spika wa Baraza Mhe Zuberi Ali Maulid.
Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka Zanzibar Mhe Issa Haji Ussi (Gavu) akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi wakati wa zoezi la kuapishwa Wawakilishi wapya wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar. 
 Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Zanzibar Mhe Jaku Hashim Ayoub, akitia saini hati yake ya kiapo baada ya kuapa mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid. na Katibu wa Baraza Dk Yahya Khamis Hamad.
 Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Juma Makungu Juma akila kiapo mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid.
 Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia Nafasi za Wanawake Mhe Khadija Omar Kibano, akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Malindi Zanzibar Mhe Mohammed Ahmada Salum akila Kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid na Katibu wa Baraza Dk Yahya Khamis Hamad. 
 Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe Mohammed Said Mohammed Dimwa akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar mbele ya Mhe Spika Zuberi Ali Maulid. 

 Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Kupitia Nafasi za Wanawake Mtumwa Suleiman Makame. akila kiapo chake cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
 Mhe Mussa Ali Mussa akilia Kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar. 
 Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Mhe Mussa Foum Mussa akila kiapo cha Utii mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. 
 Mwakilishi wa Nafasi za Wanawake Mhe Mwanaasha Khamis Juma, akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar. 
 Mwakilishi kupitia Nafasi za Wanawake Mhe Mwanaidi Kassim Mussa, akila kiapo cha Utii.
 Mjumbe wa Wawakilishi Kupitia Nafasi za Watu Wenye ulemavu Mhe Mwantatu Mbaraka Khamis akiapa mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid. 
 Mwakilishi Jimbo la Dimani Zanzibar Dk Mwinyihaji Makame Mwadini akila kiapo cha Baraza la Wawakilishi mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid.
 Mwakilishi wa Jimbo la Chaani Zanzibar Mhe Nadir Abdul-latif Yussuf (Jussab) akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati wa zoezi hilo la kuapishwa Wajumbe wapya wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
 Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe Nassor Salim Ali Jazira akiapo mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid.
Mhe Omar Sheif Abeid akiapa mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid. 
 Mwakilishi wa Viti Vya Wanawake Mhe Panya Ali Abdalla akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zuberi Ali Maulid. 
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment