MAFURIKO ZANZIBAR, DKT. SHEIN AWATEMBELEA WAHANGA KWENYE KAMBI WANAKOHIFADHIWA KUPATIWA HUDUMA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia), akizungumza na wananchi wa Shehia mbali mbali waliopatwa na maafa ya Mafurikoya mvua katika Kambi ya Skuli ya Mwanakwerekwe C Wilaya Magharibi mjini Unguja Aprili 20, 2016 wakati alipofika kuwapa pole kutokana na maafa yaliyowapata. (Picha na Ikuku ya Zanzibar)
Watoto wa familia mbali mbali za Wananchi waliopatwa na maafa ya mvua wakimasikilizaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)alipozungumza na Wazee wao wakati alipofika kuwapa pole kutokana na maafa yaliyowapata leo asubuhi alipotembelea kambi hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Maafa Zanzibar Nd,Ali Juma Hamadi (kushoto)
Dkt. Shein akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye kambi hiyo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment