MAJIVU YA MWILI WA PRINCE YAINGIZWA KWENYE KWENYE GARI

Majivu ya mwili wa mwanamuziki nyota Prince ulichukuliwa ukiwa umebebwa kwenye chombo kilichofunikwa na koti jeusi na kuingizwa kweye gari punde tu baada ya kuchomwa moto.

Prince ambaye ni muumini wa dhehebu la dini ya Mashahidi wa Yehova aliacha wosia mwili wake kuchomwa na kufanyiwa maziko ya siri na ya kawaida yaliyogharimu dola 1,600.
  Majivu ya Mwili wa Prince yakiingizwa kwenye gari huku dada wa marehemu Tyka Nelson akishuhudia
        Dada wa marehemu Prince, Tyka Nelson, akiwa na majonzi mazito

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment