MALKIA WA NGUVU UPENDO MWALONGO 'OPEN KITCHEN' AONGELEA KUHUSU MATUMIZI YA SOCIAL MEDIA.

Leo ningependa kuongelea kuhusu the use ya social media. To yr advantage social media inaweza kubadilisha kabisa maisha yako na ukajipatia kipato kikubwa kama utaweza kutumia hii fursa vizuri pale unapokuwa na product nzuri na ukaiweka kwenye wall yako watu wakaiona na wakaipenda. Na ukaweka mawasiliano yako. 

Definately wateja watakutafuta na watanunua yr product. Mimi nimeanza kupika nyumbani tena kwa ajili ya familia yangu huku natumia social media kupost. Watu wakaona wakapenda. Na wakaanza kuniomba niwatengenezee vyakula tofauti tofauti. Look at me after mwaka na nusu tumelisha mamia ya watu na biashara yangu imekua through social media because nimeona fursa na nimeitumia vizuri na nimeelewa kwa jinsi gani soacial inaweza kunipa mafanikio makubwa 

Naona ifike mahali tuanze kubadilika na kutumia social media in a positive way na sio to abuse and harass other people on social media just because either u dont like alichopost au because umeona amekuwa na maendeleo au mafanikio more than you wivu ni mzuri but uwe wivu wa maendeleo hata mimi huwa nakaa naagalia other pages za wapishi wenzangu wenye amazing restaurants au wamepata maendeleo makubwa through the food industry. 

Nakuwa na wivu nasema i want to build my empire nataka siku na mimi Open kitchen iwe a multi million dollar brand. From Africa. So i hope leo utaamka na kusema natumia social media to my advantage. Believe it or not you will make it kamatia fursa. Lets go out there and make our dreams come true its not easy. But it can be done ‪#‎malkia‬ wa nguvu ‪#‎MalkiaWaNguvu
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.