MAREHEMU ANDREW NICKY SANGA ALIZA WENGI. PUMZIKA KWA AMANI KAKA.

Andrew Nicky Sanga aka Drew
Tumekupoteza rafiki kipenzi Andrew Nicky Sanga, Ingawa tulikupenda kama wanadamu lakini naamini Mungu baba wa mbinguni amekupenda zaidi. Nashukuru Mungu kuwa nilibahatika kufurahia matukio kadhaa ya maisha yako na kuyaweka kumbukumbu kwa kutumia kamera yangu. Rest in Peace Drew, you will truly be missed,


Kwa picha zaidi nenda chini kwenye soma zaidi.
Drew Sanga, Cassius and Ebra! in Houston. TX Thanksgiving weekend 2015.
Andrew Nicky Sanga aka Drew
Drew na marafiki zake
Drew na marafiki
Dsquad
Dsquad
With Wash Drew

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment