MAREHEMU NDANDA KOSOVO AZIKWA LEO JIJINI DAR.

April 9 2016 Msanii wa dance Tanzania mzaliwa wa Congo DRC Ngongo Onawembo Ndanda Son (Ndanda Kosovo) alifariki akiwa kalazwa katika hospitali ya taifa Muhimbili ambapo alikuwa akipatiwa matibabu ya vidonda vya tumbo, msiba wake umegusa wengi na walikusanyika kumzika April 13 2016.
Marehemu Ndanda Kosovo alizawaliwa katika nchi ya Demokrasia ya Kongo tarehe 16 december 1977 katika mji wa Lubumbashi, Ndanda alijiunga na Bendi ya FM Academia Tarehe 19 September 1999, Marehemu Ndanda ameacha wake watatu na jumla ya watoto wanne.
20160413_113225
20160413_131111
20160413_131306
20160413_132502
20160413_143302
IMG-20160413-WA0006
20160413_150131
20160413_150135
20160413_152503
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda na Le Mutuz
AW1A1063
AW1A1064
AW1A1069
AW1A1071
AW1A1086
AW1A1092
AW1A1095
AW1A1113
AW1A1119
AW1A1124
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
AW1A1143
AW1A1160
AW1A1181
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda
AW1A1193
AW1A1199
AW1A1311
Pic na habari kwa hisani ya Millard Ayo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment