OLE SENDEKA AWASILI KILIMANJARO LEO

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Deogratius Ruta alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro, mjini Moshi leo
 Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Mawasilino na Umma Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda akisalimiana na Mwenyekiti wa CCN mkoa wa Kilimanjaro Iddi Juma alipowasili na Sendeka, Ofisi ya CCM mkoa huo leo. Katikati ni Mkuu wa Wialaya ya Moshi Novatus Makunga
 Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Juma Iddi alipowasili katika Ofisi ya CCM mkoa huo leo kuanza ziara ya kikazi. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi Novatus Makunga.
 Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiiingia ukumbini kuzungumza na wajumbe wa  Sekretarieti ya CCM kutoka wilaya za mkoa wa Kilimanjaro, leo.
 Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM kutoka wilaya za mkoa wa Kilimanjaro wakimpokea Ole Sendeka alipoingia ukumbini
 Ole Sendeka baada ya kuingia ukumbini
 Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ukumbini kuzungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM kutoka wilaya za mkoa wa Kilimanjaro leo
Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ukumbini kuzungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM kutoka wilaya za mkoa wa Kilimanjaro leo 
Wajumbe wakiwa ukumbini kusmikiliza Ole Sendka
 Msemaji wa CCM, Cheristopher Ole Sendeka akizungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wilaya za mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuwasili akiwa katika ziara ya kikazi leo.
Msemaji wa CCM, Cheristopher Ole Sendeka akizungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wilaya za mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuwasili akiwa katika ziara ya kikazi leo. Picha na Bashir Nkoromo).
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment