RAIS MAGUFULI AFUNGUKA KUHUSU WANAO LALAMIKA KUDHALILISHWA.

".....Mnawaibia watanzania halafu mnalalamika haki za binadamu ninapowatumbua na kuwatangaza hadharani. Nitaendelea kuwatumbua na ninyi mpate uchungu mliowasababishia watanzania maskini...!! Kwa hiyo ninyi mlikuwa mna haki kuwaibia hadharani watanzania?? Mmewaibia watanzania hadharani, ni lazima tuwatangaze hadharani ....Hata hao wanaowatetea kwa kisingizio cha haki za binadamu naona nao ni MAJIPU na tutaanza kuwafuatilia.......Kwa nini mfurahie kutajwa hadharani siku ya kuteuliwa lakini msitajwe hadharani siku ya kutumbuliwa!!! Ukibainika umeiba hakuna muda wa kujieleza kwa sababu haukujieleza wakati unawaibia wananchi maskini."----Rais John Pombe Magufuli.


Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.