Snura - Chura Dance | Tanzania women Twerking (Official Video)

Snura akiwa busy na mambo ya chura kwenye uzinduzi wa video hiyo maisha basement jana.. Hatari kabisa!!!CHINI NI PICHAZA UZINDUZI WA  VIDEO YA NYIMBO YAKE YA "CHURA" NDANI YA MAISHA BASEMENT


Video ya ngoma mpya ya mwanadada Snura iitwayo "Chura"  imezinduliwa  ndani  ya Maisha Basement jijini Dar es Salaam na ngoma hiyo iliyoombwa zaidi ya mara 4 irudiwe imekuwa kama nuru kwa sasa kwa mashabiki wake.
 Hyperman Hk akizungumzia jambo wakati wa uzinduzi wa video mpya ya Chura ndani ya maisha Basement.

Sasa wakati ukafika wa kuonesha mambo kwenye stageStejini ni Tony TBWAY 360(aliyeshika mipaza sauti) akiwasimamia wadada waliokuwa wanashindania zawadi kutoka kwa East Afrika Radio na Televison kwenye sherehe za kuazimisha miaka 17
Mashabiki na wapenzi wa Snura wa Majanga wakiendelea kufuatilia kwa makini shoo yake huku wakiwa na hamu ya kumwona huyo chura
Mashabiki wakitazama kichupa  kipya cha Snura kiitwacho Chura
Sasa ile kazi ya kuonesha Chura Live ikaanza ndani ya maisha Basement
Hakika ilikuwa ni shida
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment