TAARIFA ZA MSIBA WA ALIYEKUWA MKURUGENZI UTUMISHI BOT MAREHEMU AMATUS LIYUMBA.

Baada ya jana kuenea kwa taarifa za msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa utumishi wa Benki Kuu Tanzania (BOT) Amatus Liyumba na taarifa za kifo chake kuchelewa kutoka, leo April 19 2016 familia ya marehemu kupitia kwa mtoto mkubwa wa marehemu Moses Amatus Liyumba wametoa taarifa za ugonjwa uliyopelekea kifo cha Liyumba.
2X6A3968
“Kiukweli kikubwa kilichokuwa kina msumbua ni kisukari na presha yaani kisukari kilikuwa kipo juu sana, tatizo hilo alikuwa nalo ila kwa kiwango cha kawaida tu ila wiki moja iliyopita ndio hali ikabadilika” >>> Mose Liyumba
2X6A3949
2X6A3954
2X6A3977
2X6A3973
2X6A3964
2X6A3965
2X6A3966
2X6A3967
R.I.P Mzee Liyumba 
Source: Millard Ayo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment