TRA YAFUNGIA MADUKA KWA KUFANYA BIASHARA ZA WIZI WA KAZI ZA WASANII.

Mkurugenzi huduma na elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Richard Kayombo (Kushoto) akizumgumza na waandishi wa habari (hapo pichani) jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana kukusanya mapato kupitia tasinia ya mziki na filamu kwa kuhakikisha  bidhaa za filamu na mziki zenye stemu za kodi ndizo zinazoingizwa sokoni ili kulinda kazui za wasanii wa hapa nchini.
Katibu Mtendaji wa bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fissoo (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandisho wa ha bari jijini Dar es Salaam leo, amewaomba wadau wa sanaa na wote wanaosambaza na kuuza kazi za Filamu na Mziki hapa nchini ambazo hazijabandikwa stempu halali za kodi kuacha mara moja na kufuata utaratibu wa kupata stempu hizo katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) ili wawe halali kuuza bidhaa hizo, anayefuata ni Mkurugenzi huduma na elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Richard Kayombo.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment