AUDIO: RIPOTI KAMILI YA TAMASHA LA JEMBEKA FESTIVAL 2016 JIJINI MWANZA.


Jumamosi, May 21,2016 ilikuwa siku kubwa kwa Wakazi wa Jiji la Mwanza, baada ya kudondoshwa Show Kali ya Jembeka Festival 2016 ikiwa ni msimu wa pili mwaka huu.
Mkurugenzi wa Jembe Media Group, Mhe.Nape Nhauye, Mhe.January Makamba, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Wasanii Diamond Platnumz, Elizayo HB, Fid Q pamoja na wadau wengine wengi wamezungumzia tamasha la Jembeka Festival 2016.
BONYEZA HAPA Kusikiliza au Play Hapo chini.
Bonyeza HAPA Kutazama Picha za Jembeka Festival 2016.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.