BIRTHDAY PARTY YA MTOTO WA AUNTY EZEKIEL NA MOSE IYOBO [VIDEO].

Mwigizaji Aunty Ezekiel ambaye yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Baba mtoto wake aitwae Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, waliangusha party ya mtoto wao wa kwanza Dar es salaam na kualika mastaa na watu wengine May 22 2016.

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment