DKT. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI KATIKA TAASISI MBALI MBALI ZANZIBAR LEO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Salmin Amour Abdalla kuwa Naibu Katibu wa Baraza la Mapinduzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Nd,Asaa Ahmada Rashid kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bi,Raya Issa Msellem kuwa Katibu wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Washauri wa Rais wa Zanzibar ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa Viongozi wa Taasisi mbali mbali Serikali ya Mapinduzi leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw, Mzee Ali Haji kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bi,Mwanahija Almasi Ali kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali Serikali na wananchi waliohuria katika hafla ya kiapo kwa Watendaji wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali Serikali na Wananchi waliohuria katika hafla ya kiapo kwa Watendaji wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi walipoapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Alo Mohamed Shein.Picha na Ikulu, Zanzibar.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment