HARMONIZE APATA RIDE MPYA.

Msanii wa WCB Harmonize ameonyesha mafanikio yake kwa kujizawadia gari mpya aina ya Toyota Mark X mapema leo. Msanii huyo ambae anatamba kwa wimbo wake wa BADO ambao amemshirikisha boss wake Diamond Platnumz  na kufanya vizuri sana hadi  kumpatia fursa ya show nyingi ambazo zimemwezesha kufika hatua ya kutimiza ndoto yake moja wapo ya kumiliki gari. 

Baada ya kujizawadia gari hilo Diamond alifunguka kwa kupost picha hiyo hapo juu na kuandika maneno yafuatayo kupitia account yake ya instagram:
By @diamondplatnumz 
Kama nikusiivyo  siku zote ni juhudi na Nidhamu yako ndio itayokufanya upate matunda ya kazi yako..... Usiache unyenyekevu, kuheshimu mkubwa na Mdogo, Kumuomba na kumshukuru Mwenyez Mungu kwa kila hatua ndogo Uipigayo.... Congrats kwa your New Ride!๐Ÿš˜ @Harmonize_tz

Hard work pays big up Harmonize.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment