LUHWAVI ATEMBELEA SHINA, WILAYA YA MOSHI MJINI KUKAGUA NA KUHIMIZA UHAI WA CHAMA

 Mwenyekiti wa Shina namba 22, tawi la CCM Mbuyuni, Kata ya Bondeni Wilaya ya Moshi mjini Mkoani mkoani Kilimanjaro leo, Shufaa Kibaya, akimkaribisha nyumbani kwake, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipokwenda kuzungumza na wanachama wa CCM katika shina hilo, leo akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza uhai wa chama katika wilaya ya Moshi mjini.

Ktibu wa CCM Kata ya Bondeni wilaya ya Moshi Mjini, Gervas Lamaru (aliyesimama) akizungumza kabla ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajabu Luhwavi kuzungumza na wanachama wa CCM shina namba 22, tawi la CCM Mbuyuni katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza uhai wa Chama, jana.
Ktibu wa CCM Kata ya Bondeni wilaya ya Moshi Mjini, Gervas Lamaru akikabidhi taarifa ya kata hiyo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajabu Luhwavi, kabla ya Luhwavi kuzungumza na wanachama wa CCM shina namba 22, tawi la CCM Mbuyuni katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza uhai wa Chama, jana.. Kulia ni Mwenyekiti wa shila hilo namba 22Shufaa Kibaya
Mwenyekiti wa Shina namba 22, Tawi la CCM Mbuyuni wilaya ya Moshi Mjini, Shufaa Kibaya, akifungua kikao kabla ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi kuzungumza na wanachama wa shina hilo, akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza uhai wa chama. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Rutagumirwa.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na wanachama wa CCM shina namba 22, tawi la CCM Mbuyuni, Kata ya Bondeni wilaya ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro, alipotembelea shina hilo, akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza uhai wa chama.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akimshukuru Mwenyekiti wa CCM shina namba 22, tawi la CCM mbuyuni, Kata ya Bondeni wilaya ya Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, Shufaa Kibaya baada ya kumaliza kikao cha kuzungumza na wanachama wa shina hilo, akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza uhai wa chama
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akiagana na Diwani wa Kata ya Bondeni na Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbuyuni,  wilaya ya Moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro Masiu Kirusu, baada ya kuzungumza na wanachama wa CCM katika shina namba 22, tawi la CCM Mbuyuni, akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza uhai wa chama.
Baadhi ya wachama wa CCM shina namba 22, tawi la CCM Mbuyuni, wakimchangamkia Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kwa kupiga naye picha baada kuzungumza nao katika shina hilo akiwa katika ziara ya kukagua na khimiza uhai wa chama
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akiagana na Mwenyekiti wa CCM shina namba 22, tawi la CCM mbuyuni, Kata ya Bondeni wilaya ya Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, Shufaa Kibaya baada ya kumaliza kikao cha kuzungumza na wanachama wa shina hilo, akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza uhai wa chama. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment