MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA, DKT. ASHA- ROSE MIGIRO

  Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana  na Balozi wa Tanzania  nchini Uingereza, Dkt. Asha - Rose  Migiro kabla ya mazungumzo yao  Ofisini kwake jijini Dar es salaam  leo.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza  na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha - Rose Migiro  ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment