Manispaa ya Kinondoni yabaini watumishi hewa 100

Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imebaini uwepo wa wafanyakazi hewa 100. Sekta za afya na elimu zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wafanyakazi hewa. Hadi sasa zaidi ya million 90 zimeanza kurejeshwa na baadhi ya watumishi hewa 15.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment