MKUU WA WILAYA MHE. RICHARD KASESELA AFUNGA MAFUNZO YA KUNG-FU.

MKUU WA WILYA AKIWA NA WALE WENYE MADARAJA YA JUU YA KUNG FU (BLACK BELTS)
MKUU WA WILAYA MH KASESELA AKITOA ZAWADI YA MPIRA KWA KITO CHA WATOTO YATIMA KORONGONI
DIWANI WA KITANZINI MANISPAA YA IRINGA kulia akionyesha umahili wake wa kungfu
WASHIRIKI WOTE

14/05/16 Mkuu wa Wilaya Mh Richard Kasesela alifunga mafunzo ya "Kungfu" yalikuwa yanaendeshwa na SHOKINJI KEMPO. washiriki kutoka Dares salaam na Dodoma walionyeshana ufundi wa kung Fu na wengine walipandishwa madaraja. katiba hotuba yake aliwaomba Kemp hiyo kuwa walinzi wa amani kwani sifa kubwa ya wacheza kungfu ni kuhakikisha amani. Mwanzilishi wa Shokinji Kemp alifariki tarehe 14 mwezi wa 5 miaka 60 iliyopita huko Japan.
Mwenyeji wa masjhindano hayo Diwani wa Kitanzini ambaye yupo daraja la juu (Mkanda mweusi) alishukuru sana uwepo wa Mkuu wa wilaya na kuahidi kumsadia katika kulete amani na utulivu pamoja na kuzuia vijana kuingia kwenye tabia mbaya za uvutaji bangi na ulevi.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment