MWILI WA MAREHEMU ANDREW SANGA WAAGWA DAR ES SALAAM NA KUPELEKWA DODOMA KWA AJILI YA KUUPUMZISHA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE.

Waombolezaji wakiwa kanisani kuaga mwili wa Drew, ndugu na jamaa wa Dar Tanzania walipata nafasi ya Ibada ya misa kwa ajili ya Drew ndani ya kanisa la kilutheri Ubungo baada ya ibada ya misa mwili ulisafirishwa kwenda Kizota, Dodoma  kwa mazishi yatakayo fanyika kesho Alhamis saa tisa mchana kwenye makaburi ya Hajra Chinangali.

Ndugu na marafiki wa Dar-Es-Salaam wakiwa kanisani kuaga mwili wa Drew , kwa picha zaidi nenda soma zaidi.
 
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment