RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA (TERMINAL ONE) DAR.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza katika uwanja wa ndege wa kimataifa ya Julius Nyerere Dar es Salaam.

Rais amefanya ziara hiyo na kukagua maeneo ya uwanja huo mara tu alipotua katika uwanja huo akitokea nchini Uganda alipohudhuria sherehe za kuapishwa za Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni.


Isome taarifa yote hapa:

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment