WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AMSHUKURU MKE WAKE KWA KUWA NAE BEGA KWA BEGA WAKATI AKISOMA BAJETI YA WIZARA YAKE [PICHA]

 Mhe Mwigulu Nchemba akiwa na mke wake mpendwa mara baada ya kuoma bajeti ya wizara anayo iongoza ya Kilimo,nMifugo na Uvuvi.
Waziri Nchemba amefunguka kwa kuandika maneno haya kupitia ukurasa wake wa faceboo:
"Asante mke wangu kwa kuwa bega kwa bega nami wakati wote wa kusoma bajeti ya wizara ninayoiongoza, zaidi kwenye hatua zote ninazopitia katika maisha yangu.
‪#‎Familianikilakitu‬."


Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment