BILLIONAIRE MDOGO AFRIKA MOHAMMED DEWJI AAHIDI KUTENGENEZA NAFASI ZA KAZI 100,000.


Wiki iliyopita ndani ya jiji la Dar es salaam, Raisi Mh. Magufuli alihudhuria President Manufacturer of the Year Awards (PMAYA), ni event ambayo inawatambua wazalishaji bora nchini. Katika tukio hilo Raisi J.P.Magufuli aliwahakikishia wageni waalikwa kuwa serikali yake inasimamia sekta ya uzalishaji kuhakikisha kuwa sekta hiyo inachangia zaidi ya asilimia 15 ya GDP ya Tanzania na kuhakikisha uwepo wa nafasi za kazi asilimia 40 ifikapo mwaka 2020.

Tajiri wa Tanzania, Mohammed Dewji, ambaye alishinda zawadi nyingi katika tukio hilo, aliahidi mbele ya Mh. Raisi Magufuli kuwa atatengeneza nafasi mpya za kazi kwa watanzania ndani ya miaka michache ijayo.

Mohammed Dewji :: “I am going to invest more than $500 million over the next 4 years to employ over 100,000 people across Africa by 2021 with a significant majority of those jobs coming to Tanzanians,” 

Source :: Forbes
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment