DIAMOND PLATNIMZ NA FAMILIA YA WCB WASAFI WAKABIDHI MADAWATI 600 KWA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM.


Diamond Platnumz akiwa pamoja na team yake ya wasafi amekabidhi mchango wa madawati 600 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda, ametoa mchango huo kufuatia kampeni inayoendelea nchi nzima ya kuchangia madawati ili kuwawezesha wanafunzi walio na hali ngumu mashuleni kuwa na mazingira mazuri ya kusomea ili kuweza kuinua elimu nchini.


photos :: millardayo.com

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.