FAHAMU FAIDA YA KU-CLEANSE, KU-TONE NA KU-MOISTURIZE USO WAKO.


Cleansing

Ku-cleanse uso wako ni kuusafisha, kuondoa makeup zote, kuondoa mafuta na uchafu usoni na kuuacha uso upumue. Ni vizuri kama uki-cleanse uso wako kila unapotaka kulala na kila aumkapo kabla hujapaka makeup yako for the day. Hii itasaidia ngozi yako kuwa na a perfect complexion, kuzuia chunusi na hata kuondoa madoa ambayo ulikuwa nayo.

Tumia clense ambayo inafaa ngozi yako, safisha usowako vizuri ukitumia kitambaa laini na hiyo cleanse hadi shingo yako nayo unatakiwa uijali kama uso wako kama hutaki kuwa na ngozi rangi mbili tofauti. Baada ya hapo nawa na maji ya uvuguvugu the fuatisha na maji ya baridi, then kausha kwa taulo au kitambaa kilaini na kisafi.

Tone.


Toner inasaidia kuondoa ucha ambao utakuwa umebaki baada ya kutumia cleanser na inaiandaa ngozi yako kwa products zingine zitakazofuata. Chagua skin toner inayoendana na skin type yako, ambayo haisumbui pH balance ya ngozi yako. Tumia cotton/pamba kupitisha toner usoni kwako. Subiri ikakuke lakini usinawe tena.

Moisturize.


Moisturizer inalainisha ngozi yako, inasaidia ngozi yako isikauke na kukakamaa. Hata kama una ngozi yenye mafuta kiasi gani ni lazima kutumia moisturizer. Jaribu tu kutafuta zile ambazo zinafaa kwa watu wenye ngozi ya mafuta tu.

Speaking of cleansing na toning your skin, Zurii house of beauty tuna a new product just in, TEE TREE OIL PRODUCTS, ambayo ina include cleanser, toner, ambayo ni perfect kwa ngozi yenye mafuta.

Suluhisho lako la chunusi na blackheads TSHS 120,000.Hata kama huna chunusi na unangozi yenye mafuta hizi step one na 2 zinafaa na zinasaidia kukausha mafuta. Kwa sh.120,000.
  •  Skin Clearing Wash TSHS 40,000::Gel wash that deeply cleanses and purifies without drying the skin.
  • Skin Clearing Toner TSHS 40,000::Toner with oil-absorbing powders. Shake to activate to remove last traces of impurities and mattify skin.
  • Tea Tree Oil TSHS 40,000::Concentrated Tea Tree Oil to clear blemishes.


Pure Tea Tree Oil available in store TSHS 40,000.

Haya mafuta ni mazuri sana kwa wale wenye chunusi za mara kwa mara. 
Yanakausha kabisa chunusi na yanafanya kazi. 
Haya ni must have mafuta kwenye dressing table yako kama unasumbuliwa na chunusi za mara kwa mara.The Body Shop Tea Tree Range ideal for blemish, oily and blackhead prone skin available in store TSHS 40,000-45,000.


We are located in Dar Free Market Mall 
1st Floor, Shop No F4
Oyster Bay, Ally Hassan Mwinyi Road
Near the Embassies of Kenya and France
Call or whatsapp ::+255 65 918 9769 or +447557304940 
Opening Hours (Muda wa kazi): Mon-Sat 10am-8pm, Sun 10am-6pm


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.