HEKIMA RAYMOND MTANZANIA ALIYEJIFUNZA MWENYEWE KU-CONDUCT CLASSICAL MUSIC.


Mwanamziki mtanzania Hekima Raymond sio tu ni pianist, bali pia ni kondakta wa classical music nchini. Alianza kupenda classical music alivyokuwa na miaka 13.Aliacha kazi yake kama mtumishi wa umma na sasa anafuata ndoto yake ya mziki..kama alivyowaambia BBC Africa.

Angalia video yake fupi::


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment