MATUMIZI 10 YA ARGAN OIL PRODUCTS KWA MWILI NA NYWELE ZAKO.

Haya ni mafuta yanayotokana na mti wa Argan ambao unapatikana huko Morocco, una nutrients kibao ambazo zinasaidia ngozi yako pamoja na nywele zako. Una nutrients kama vile fatty acids na Vitamin E.
Haya ndio matumizi 10 ya Argan oil kwa ajili ya ngozi na nywele zako.
1.Kama skin moisturizer.
Ina lainisha ngozi yako kwa kui-hydrate. Vitamin E na fatty acid inaipa ngozi a natural boost. Hidhuru ngori wala kuiacha ionekane na mafuta sana. Ni rahisi kutumia kwa mwili wako mzima na hata usoni na shingoni. Paka kama tu unavyopaka lotion.
2.Kama hair conditioner.

Argan oil pia inalainisha nywele zako, zinakuwa soft na kung'aa vizuri. Ni nzuri pia ikitumia kama hair conditioner lakini pia ipo hair conditioner yake kabisa. Inasaidia kutibi nywele zenye split ends na zinazo katika katika.
3.Unaweza kutumia Argan oil katika kustyle nywele zako.

Weka a few drops za Argan oil kwenye mikono yako kisha upake katika nywele kabla haujaanza kuzichana na kuzi-style.
4.Argan oil pia ni anti-aging product.

Yaani inasaidia ngozi yako isikakamae na kuzeeka mapema, kwa kuwa ina moisturize ngozi inaipa ngozi yako glow na kuondoa mikunjo usoni. Anti-oxidants zake ndio inayosaidia kufanya ngozi iwe laini.
Chukua a few drops na u-massage uso wako ukiwa msafi, massage uso na shinho yako kila siku kabla ya kulala kwa kutumia afuta haya na ngozi yako itakuwa laini na kuondoa mikunjo.
5.Inasaidia skin conditions.

Wale wanaosumbuliwa na ngozi kavu na hata skin conditions kama vile eczema ambayo inafanya ngozi kukauka na kuwasha wanaweza kutumia mafuta ya argan oil. Vitamin E na fatty acids inasaidia kurudisha ngozi iliyoharibika na pia kuipa ngozi nutrients ambazo zitazuia ngozi kukauka.
6.Inasaidia kutibu Acne.

Mafuta na moisturizers nyingi husababisha watu kutokewa na acne/chunusi ambazo huwaachia alama hata zikiisha. Argan oil sio greasy hivyo itasaidia kulinganisha moisture ya ngozi yako, kuponya cells zilizokufa na kupunguza muwasho. Paka argan oil kila baada ya ku-cleanse uso wako.
7.Inalinda na kuponya ngozi.

Antioxidants zilizopo katika mafuta haya inasaidia ngozi yenye irritation, iliyopasuka, hata iliyoungua. Pia inalinda ngozi na kuisaidia isikauke na kuharakisha uponyaji wa ngozi.
8.Kwa wajawazito.

Tumia Argan oil ili kuzuia stretch marks/michirizi kukutokea au kuipunguza kama imesha kutokea. Na hata kusaidia ngozi yako kujirudi baada ya kuzaa. Argan oil ina elements za elasticity kutikana na Vitamin E hivyo pika a few drops kwenye tumbo, mapaja na hata boobs zako kipindi ni mjamzito na hata baada ya kujifungua.
9.Foot, hand and nail treatment.

Argan oil yanatumika pia kutibu kucha zako, kama kuja zako ni laini sana na hukatika ovyo, paka argan oil kila ukitoka kuoga au kila ukinawa mikono yako. Pia hutibi mikono na miguu yako kwa kuimoisturize, inakuwa milaini. Massage mafuta haya katika miguu, mikono na kucha kila siku kabla ya kulala na uvae socks miguuni.
10.Yana moisturize Lips zako.

Haswa haswa katika kipindi cha baridi haya mafuta yatakusaidia kuepusha lips zako zisikauke na kupasuka. Au unaweza hata kuyatumia kama lip balm yako ya kila siku.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.