MPIGIE KURA DIAMOND PLATNUMZ KATIKA BET AWARDS 2016.

Vote! Vote! Vote! 

Diamond amekuwa nominated kama Best International Act In Africa kama bado hujampigia kura Diamond Platinumz all you have to do ni kuingia HAPA na utaenda moja kwa moja kwenye website ambapo utaweza kumpigia kura. Turudishe yet another Award nyumbani.
Vote! Vote! Vote!
photo credit::kifesi
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment