MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI NCHINI VANESSA LABAN KUACHIA ALBAMU YAKE MPYA.

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini,Vanessa Laban, kutoka Jijini Mwanza, anatarajia kuachia Album yake mpya iitwayo "Sifa Zivume" iliyo katika mfumo wa Sauti/ Audio na Picha Nyongevu/ Video.

 Albam hiyo inasambazwa na Kampuni ya Vipaji Entertainment inayosimamiwa na Maganga Gwensaga, ambae ni Meneja wa Kituo cha Radio cha HHC Alive cha Jijini Mwanza.
Bonyeza HAPA Au Play Hapo Chini Kusikiliza Wimbo uitwayo "Ni Kwa Neema" ulioimbwa na Vanessa Laban.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment