PRODUCTS SPECIAL KWA WATOTO WAKO ZINAPATIKANA ZURII HOUSE OF BEAUTY.

We are located in Dar Free Market Mall 1st Floor, Shop No F4Oyster Bay, Ally Hassan Mwinyi RoadNear the Embassies of Kenya and FranceCall or whatsapp ::+255 65 918 9769 or +447557304940 Opening Hours (Muda wa kazi): Mon-Sat 10am-8pm, Sun 10am-6pm

Shea Moisture Baby and kids products 


Hizi product ni natural na zinafaa kwa mtoto mchanga hadi mkubwa. 
Hazina chemicals kali zitakazo dhuru ngozi ya mtoto na kumuepusha na allergies mbali mbali.Shea Moisture kids products
The products are free of parabens, and sulfate.Mixed Chicks products for kids  

Hizi product zinafaa watoto mixed na wakawaida. 
Zinasaidia kulainisha nywele na ni salama kwa mtoto wako. 
Shampoo Ni TEAR FREE so hata ikiingia kwenye macho bahati mbaya haimwashi mtoto. 
Husaidia kulainisha nywele pale zinapo fungana (detangle) nankuzifanya nywele kuwa laini na tangle free. 
Zinatakatisha nywele without stripping the moisture. 
Product hizi pia zinasaidia kukuza nywele, kuzipa moisture na kuzihydrate


Mazuri Kid's hair productsCantu Kids range

Ni product nzuri na salama kwa ajili ya mwanao. 
Husaidia kudetangle nywele.

Husaidia kumoisture nywele.

Defines curls. 
Husaidia kukuza, kustyle na kulinisha nywele. Dream Kids products for kids . We have in stock: Hair Food, Relaxers, Texturizers, Softners, Shampoo, Conditioners, Leave-In Conditioners, Detanglers and many more. Curly Kids Hair products 
Hizi product zinafaa watoto mixed na wakawaida. 
Husaidia kulainisha nywele pale zinapo fungana (detangle) nankuzifanya nywele kuwa laini na tangle free. 
Product hizi pia zinasaidia kukuza nywele, kuzipa moisture na kuzihydrate.

Shampoo Ni TEAR FREE so hata ikiingia kwenye macho bahati mbaya haimwashi mtoto. 

Aunt Jackie's Girls products


Dawa za nywele original za watoto.


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment