REST IN PEACE MOHAMMAD ALI DEAD AT THE AGE OF 74.


Bondia wa huko Marekani Mohammad Ali, aliyejitaja na kukubalika kuwa ni the greatest boxer of all time passed away akiwa na miaka 74. Baada ya kupambana na ugonjwa wa uitwao Parkinson's disease kwa miaka 32. This greatest heavyweight champion alifariki jioni na funeral itafanyika at his Hometown huko Kentucky. 
Mtoto wake wa kike Leila Ali ambaye pia ni boxer alisema kuwa "he is no longer suffering"

Historia fupi.
Mohammad Ali was born at Cassius Marcellus Clay on Jan. 17, 1942 in Louisville, Kentucky,kwa wazazi wenyehali ya kawaida, Ali alianza boxing akiwa na miaka 12, he won Golden Gloves titles kabala ya kuelekea to the 1960 Olympics huko Rome,ambapo alishinda Gold madal as a light heavyweight champion. 

Alianza kuwa professional boxer baada ya kuwa supported na Louisville business owners waliompa 50-50 mapato waliyokuwa wanapata.
Na alivyozidi kujulikana Ali alianza kupinga American racism/ubaguzi wa waafrika na alianza kupata guidance kutoka kwa the Nation of Islam,ni an American Muslim sector. .

Hata kabla ya kifo chake Mohammad Ali hakuacha kufuatilia mambo ya siasa na hata kuongea na vyombo vya habari kuhusu statement ya Donald Trump anayegombania uraisi huko Marekani, statement yake ilisema kuwa waislamu wote wakatazwe kuingia nchini humo.
Mohammad Ali :: "We as Muslims have to stand up to those who use Islam to advance their own personal agenda"

Mwaka 1960, the heavyweight champion Mohammad Ali alibadili dini na kuingia katika dini ya kiislamu na kukataa kwenda kupigana katika Vietnam war. Mohammad Ali alisimamia nguvu, ujasiri na hakuwa na ubaguzi.


REST IN PEACE MOHAMMAD ALI.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment