SERENA WILLIAMS NDIYE MWANAMICHEZO MWANAMKE ANAYELIPWA HELA KUBWA DUNIANI.


Serena Williams, mwanamke mwenye miaka 34, ndiye mwanamichezo pekee kwa wanawake anayelipwa hela ndefu duniani ndani ya miezi 12 katika career yake.

 Kabla yake alikuwa ni Maria Sharapova, wote hawa ni wacheza tennis.
Serena amelipwa kiasi cha million 28.9 ndani ya miezi 12 tu na kivyo kuongoza katika kuwa mmoja wa wanamichezo kwa wanawake wanaolipwa hela ndefu.
Serena Williams akiwa na Maria Sharapova.

 Serena akifanya yake
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.