SIKU YA MTOTO WA AFRICA YAFANA KATIKA VIWANJA VYA JAKAYA KIKWETE YOUTH PARK

 WATOTO WAKIANGALIA MPIRA
  WATOTO WAKIANGALIA MPIRA
 Meneja wa Huduma za jamii wa Tigo , Woinde Shishael Akizungumza na waandishi wa habari
 Meneja wa Huduma za jamii wa Tigo , Woinde Shishael akikabidhi hundi ya mfano ya dola 12,000/ kwa Mtendaji mkuu wa Csema , Kiiga Joel, wakati wa sherehe za siku ya mtoto wa Afrika katika Viwanja vya Jakaya Kikwete Youth ark
 Bahadhi ya watoto wakiwa uwanjani
  Maxence M. Melo wa Jamii Forum akiwa katika picha na
Mtendaji mkuu wa Csema , Kiiga Joel
 watoto katika michezo mbalimbali
 Watoto katika picha ya Pamoja
  Maxence M. Melo wa Jamii Forum akiwa katika picha na
Mtendaji mkuu wa Csema , Kiiga Joel
Mmoja ya watoto  wakiwa katika michezo
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment