THE ONE THING QUEEN ELIZABETH NEVER GOES WITHOUT.


We all have that one thing ambayo ni lazima uvae, au uniform ambayo huwa unavaa kila siku. Kwa kusema uniform haimaanishi nguo za shule, yani uniform as in style yako ya kipekee unayopenda kuivaa, inaweza hata isiwe kwenye nguo inaweza ikawa ni accesories labda unapendelea kuvaa nyingi, kuna wengine hawavai accesories kabisa. Bas for Queen Elizabeth ni her hat..I think she has a hat for each one of her outfits ambazo anamatch nazo..na wewe je? what is the one thing ambayo ni lazima uvae?
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment