TIWA SAVAGE KUJIUNGA NA JAY Z's ROC NATION LABEL.


Mwanamziki wa Nigeria, Tiwa Savage kujiunga na label ya mwanamziki wa marekani Jay Z iitwato Roc Nation. Inasemekana kuwa walikutana katika office za Roc Nation huko New York kusign mkataba juu ya management na distribution deal ya Tiwa Savage.

Big things zinamsubiria mwanamziki huyu, inasemekana pia kuwa Tiwa Savade ata-perform at thr Made in America Concert this September, ambapo atakaefungua show atakuwa Rihanna!!!


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment