UNAWEZA VAA BRA KWA JUU KAMA LOUIS VUITTON STYLE TREND.

Trends trends trends..right now Louis Vuitton inawavalisha a lot of celebrities in this style, inakuwa sio exactly a bra ambayo wanavaa kwa nje lakini ni design ya bra but kuna wengine pia wanavaa bra kabisa on the outside, inaleta picha kama kwamba mtu amevaa bra yake kwa nje instead of ndani..from Selena Gomez to so many others rocking this style na imeingia hadi kwenye red carpet events. Check this trend from Lois VuittonAnd kwa wale wanaovaa bra kabisa on the outside
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment