VANESSA MDEE MODESTLY KILLING IT IN THIS BLACK SUIT.


Vannessa Mdee went to the official side hapo juzi alivyoenda kuungana na Honorable Prime Minister Kassim Majaliwa na wengine katika petition ya Eva kwa the parliament. Vanessa wore a black skirt suit that looked so good on her, and those oh so high platform heels.

Vanessa :: Kutana na Eva, Eva ni binti kutoka Iringa. Eva anataka maisha bora kwa familia yake na kwake. Anaamini anaweza kufikia lengo lake kwa kupata elimu nzuri. Hata hivyo Eva ana changamoto kubwa. Kijiji chake cha Malinzanga kina upungufu mkubwa wa maji. Muda anaotakiwa kuutumia shuleni anautumia kuchota maji na kufanya kazi nyingine za nyumbani. Eva alituma maombi kupata msaada toka serikali ya kijiji lakini hakufanikiwa. Binti huyu hakukata tamaa. Alimuandikia Barack Obama #POTUSbarua. Ombi lake lilisikika na #POTUSwakampa nafasi wakati wa mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa. Baadaye#StandWithEva ilitengenezwa na One Campaign na Restless Development. Baada ya sahihi 150,000 kutoka sehemu mbalimbali duniani. kesho Eva atawasilisha muswada wake Bunge. Hii hadithi inatifundisha nini? Jadili (Alama 20) #IStandWithEva #StrongGirl

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment