VIATU 5 AMBAVYO KILA MWANAUME MWENYE STYLE ANATAKIWA KUWA NAVYO.


Sio lazima kuwa na pair nyingi za viatu, hata kama you can't manage kununua viatu vingi na vizuri upendavyo basi hakikisha tu unazo hizi pair 5 amabzo zitakusave katika kila occasion.. office, casual, date night nk.

1.CLASSIC DRESS SHOE.
Hivi unavaa kazini, kwenye important meetings, ukitaka kuonekana classy. Unaweza kununua hivi in many colors, lakini pia dark colors kama vile black, dark blue, dark brown zitaenda na kila nguo uliyonayo.2.LOAFER SHOE.
Hivi you can also wear to work on a casual Friday, au outing na marafiki nk.


3.SNEAKERS.

4.LEATHER SANDALS.
For chill day, you have to let your feet breathe hata mara moja kwa wiki

Na vingine ni all your choice kuongezea to your shoe collection, kwa wale wenye style najua you know what I mean, 1 pair is just never enough, ni lazima utataka so many styles hata kama utavivaa mara 1 tu. Vingine kama vile vans, nike, adidas, boots, suede, converse and so on.


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment