Movie mpya ya Elizabeth Lulu Michael "NI NOMA" ndio inazinduliwa leo. The question is ARE YOU INVITED? Kama you are basi utakuwa mmoja wa wale wachache watakaokuwa wa kwanza kuiona leo hii.
Na ikishatolewa madukani usikose kuitafuta na kuiangalia, SUPPORT YOUR OWN!
0 comments/maoni:
Post a Comment