CIARA & RUSSELL WILSON MARRIED.

\
Mwanamziki ciara finally married to the seahawks quaterback Russell Wilson. Harusi yao ilikuwa ya siri, kulikuwa hakuna paparazi na hata wageni 100 walioalikwa hawakuruhusiwa kuingia na simu katika ukumbi ambapo harusi hiyo ilifanyika.
And the wedding ilifanyika in a castle!
 DECOR

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment