Drake's New Solid-Gold Air Jordans Ni Karibia Million 2 Za Kimarekani.


 Mwanamuziki Drake amenunua viatu vya Air Jordans ambavyo vimetengenezwa na solid gold by an artist aitwaye Matthew Senna. Hivi viatu vinafanana kabisa na viatu alivyotengeneza Drake akishirikiana na NIKE except hivi vimetengenezwa kwa gild tupu.
Drake anasema kuwa hivi viatu vitakuwa tu vinakaa ndani sio vya mtoko..maana vina uzito wa pound 100.


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment