REBECCA GYUMI KUSHINDA KESI BAADAYA YA KUPINGA SHERIA YA NDOA ZA UTOTONI.


Rebecca Gyumi, Mkurugenzi wa Msichana Initiative, alipinga sheria iliyokuwa ikiruhusi watoto wa kike kuolewa wakiwa na miaka 14, ameshinda kesi hii na sasa miaka ya kuolewa imewekwa sawa na wanaume ambayo ni miaka 18. Cheki video ifuatayo kusiskiliza Rebecca akielezea ni kwa nini aliamua kupinga sheria hii, mpango wake baada ya kushinda kesi na vingine vingi::
video::millardayo


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment